Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
25/02/2022 13:19:13
The New York Knicks na Philadelphia 76ers watafufua uhasama wao kwenye mechi ya NBA katika ukumbi wa Madison Square Garden, New York City jioni ya Februari 27 2022 Jumapili. Mechi inatazamiwa kung’oa nanga majira ya saa mbili kamili saa za Afrika ya kati.
23/02/2022 16:26:01
Rickie Fowler anatazamia kuiga mfano wa wachezaji wanne wakubwa wa golfu kwa kushinda Honda Classic katika jimbo la Florida, Marekani mnamo Februari 27.
23/02/2022 16:19:09
Empoli FC watakuwa mwenyeji wa Juventus FC katika mechi ya ligi ugani Stadio Carlo Castellani tarehe 26 Februari.
23/02/2022 16:12:07
Everton watakuwa mwenyeji wa Manchester City katika mechi ya ligi ugani Goodison Park Jumamosi Februari 26, huku City wakipania kujizoa baada ya kupoteza mechi dhidi ya Tottenham Hotspurs.
23/02/2022 15:59:10
Rayo Vallecano watakuwa mwenyeji wa Real Madrid katika mechi ya ligi ugani Estadio Wanda Metropolitano mnamo Februari 26.
21/02/2022 14:25:25
Atletico Madrid watakuwa mwenyeji wa Manchester United katika mechi ya mkondo wa kwanza wa mechi za UEFA raundi ya kumi na sita Februari 23.