Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Leicester wapania kuchelewesha azma ya Liverpool

28/12/2021 15:57:53
Leicester City watachuana na Liverpool katika mechi ya ligi mnamo Disemba 28. 

Man City hawaonyeshi dalili ya kusimama

22/12/2021 09:43:50
Manchester City wataialika Leicester city ugani Etihad Disemba 26 huku wakinuia kuendeleza ubabe wao katika ligi. 

Bucks kuendelea kutetea taji dhidi ya Celtics

22/12/2021 09:11:04
Disemba 25 Milwaukee Bucks itamenyana na Boston Celtics katika mechi ya NBA.
 

Milan kukwaruzana na Empoli

15/12/2021 14:09:07
AC Milan wanapania kuendeleza matokeo mazuri dhidi ya Empoli watakapokutana katika mechi ya ligi mnamo Disemba 22 uwanjani Stadio Carlo Castellani.

Nets kutonesha zaidi kidonda cha 76ers

15/12/2021 13:41:39
Brooklyn Nets watamenyana na Philadelphia 76ers katika mechi ya ligi ya NBA mnamo Disemba 17. 
 

Spurs na Liverpool wapania kuendeleza ushindi.

15/12/2021 13:21:13
Tottenham Hotspurs na Liverpool watamenyana katika mechi kali ya ligi Jumapili jioni mjini London huku timu zote zikinuia kuendeleza msururru wa matokeo mazuri.