Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
29/10/2021 09:28:12
Oktoba 30 Hellas Verona itawaalika Juventus uga wa nyumbani Stadio Marc’Antonio Bentegodi katika mchezo wa ligi kuu ya Serie A, Italia.
29/10/2021 09:11:35
Elche CF na Real Madrid watakabana koo kwenye mchuano wa ligi utakaogaragazwa katika uwanja wa nyumbani wa Elche, Estadio Manuel Martinez Valero Oktoba 30.
28/10/2021 10:08:03
Kutakuwa na kivumbi kikali cha mpira wa kikapu Jumamosi hii Moda Center Portland Oregon wakati Portland Trail Blazers wataialika Los Angeles Clippers katika mechi ya msimu wa kawaida majira ya saa kumi asubui Oktoba 30 2021.
28/10/2021 09:31:11
Manchester united wanapania kupata matokeo mazuri watakapokutana na Tottenham Hotspurs Jumamosi hii baada ya kupata kichapo kikali mikononi mwa Liverpool kwenye mchezo wa ligi kuu Engalnd msimu huu wa 2021/22.
26/10/2021 10:47:53
Real Madrid itamenyana na CA Osasuna Oktoba 27 ugani Estadio Santiago Bernabeu katika mechi ya ligi kuu nchini Uhispania.
26/10/2021 10:35:42
Sassuolo itawaalika Juventus tarehe 27 Oktoba ugani Allianz stadium katika mechi ya ligi ya Italia, Serie A.