Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

76ers kuwakabili Timberwolves

26/11/2021 13:43:26
The Philadelphia 76ers watakabiliana na Minnesota Timberwolves katika mechi ya msimu ya NBA kwenye uwanja wa Wells Fargo Center uliopo Philadelphia. Mechi hiyo itang’oa nanga majira ya saa saba asubui ya jumapili Novemba 28 2021 saa za afrika ya kati.

Timu tano za kuangalia kwenye Ligi ya Mabingwa

23/11/2021 10:22:15
Michuano bora zaidi ya vilabu Ulaya inaendelea wakati timu 32 zikichuana kuwania nafasi ya kuelekea Urusi Mei 28. Kurejea kwa mashabiki uwanjani kumeongeza morali za timu nyingi zimewakaribisha kwa bashasha.
 

Juventus na Atalanta kukabana koo

23/11/2021 09:59:46
Juventus FC wataialika Atalanta BC ugani Allianz Stadium katika mchezo wa ligi kuu ya Italia Novemba 27.
 

Villarreal na mpango wa kuiangusha Barcelona.

22/11/2021 13:33:20
Villarreal CF na Barcelona watakutana Novemba 27 katika mechi ya ligi kuu ya Uhispania ugani Estadio de la Cerámica.

Villarreal wapania kuibwaga Man United kwa mara ya tatu

22/11/2021 13:19:15
Villarreal CF watamenyana na Manchester United katika mechi ya ligi ya mabingwa kundi F, mnamo Novemba 23. 

Je, Wizards watawaweza Heat

18/11/2021 16:21:59
Washington Wizards watahitaji jitihada za ziada, watakapoikabili timu ya Miami Heat katika mchuano wa NBA ugani FTX Arena Miami Florida Ijumaa ya Novemba 19 2021 majira ya asubuhi. Mechi hiyo itang’oa nanga saa 03:30 asubui saa za afrika ya kati.