Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
18/11/2021 15:25:14
Liverpool watapania kuandikisha matokeo mazuri wakiwa nyumbani dhidi ya Arsenal katika mechi ya ligi jumamosi hii ugani Anfield.
18/11/2021 15:12:41
Kwa mara ya kwanza, Qatar itakuwa mwenyeji wa mbio za langalanga zitakazo andaliwa Novemba 21 katika mji wa Lusail.
17/11/2021 13:30:38
Mashindano ya gofu ya 2021 RSM Classic yatang’oa nanga Novemba 18 hadi 21, Sea Island Golf Club katika jimbo la Georgia nchini Marekani.
17/11/2021 13:11:08
Granada CF itamenyana na Real Madrid katika mechi ya ligi kuu Uhispania Novemba 21 ugani Estadio Nuevo Los Cármenes.
17/11/2021 11:55:17
Inter Milan watakabiliana na SSC Napoli katika mechi ya kukata na shoka ya ligi kuu ya Italia kwenye uwanja wa Stadio Giuseppe Meazza Novemba 21.
16/11/2021 08:39:18
Wales itapambana na Belgium katika mechi ya kufuzu kombe la dunia 2022 ya kundi E Novemba 16.