Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo
23/11/2021 09:59:46
Juventus FC wataialika Atalanta BC ugani Allianz Stadium katika mchezo wa ligi kuu ya Italia Novemba 27.
22/11/2021 13:33:20
Villarreal CF na Barcelona watakutana Novemba 27 katika mechi ya ligi kuu ya Uhispania ugani Estadio de la Cerámica.
22/11/2021 13:19:15
Villarreal CF watamenyana na Manchester United katika mechi ya ligi ya mabingwa kundi F, mnamo Novemba 23.
18/11/2021 16:21:59
Washington Wizards watahitaji jitihada za ziada, watakapoikabili timu ya Miami Heat katika mchuano wa NBA ugani FTX Arena Miami Florida Ijumaa ya Novemba 19 2021 majira ya asubuhi. Mechi hiyo itang’oa nanga saa 03:30 asubui saa za afrika ya kati.
18/11/2021 15:25:14
Liverpool watapania kuandikisha matokeo mazuri wakiwa nyumbani dhidi ya Arsenal katika mechi ya ligi jumamosi hii ugani Anfield.
18/11/2021 15:12:41
Kwa mara ya kwanza, Qatar itakuwa mwenyeji wa mbio za langalanga zitakazo andaliwa Novemba 21 katika mji wa Lusail.