Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo

Macho yote kuangazia 2021 RSM Classic

17/11/2021 13:30:38
Mashindano ya gofu ya 2021 RSM Classic yatang’oa nanga Novemba 18 hadi 21, Sea Island Golf Club katika jimbo la Georgia nchini Marekani.
 

Granada wapania kuwazima Madrid

17/11/2021 13:11:08
Granada CF itamenyana na Real Madrid katika mechi ya ligi kuu Uhispania Novemba 21 ugani Estadio Nuevo Los Cármenes. 
 

Inter na Napoli kutifua kivumbi

17/11/2021 11:55:17
Inter Milan watakabiliana na SSC Napoli katika mechi ya kukata na shoka ya ligi kuu ya Italia kwenye uwanja wa Stadio Giuseppe Meazza Novemba 21. 
 

Wales kupambana na Belgium iliyokatika nafasi ya kwanza FIFA

16/11/2021 08:39:18
Wales itapambana na Belgium katika mechi ya kufuzu kombe la dunia 2022 ya kundi E Novemba 16. 
 

Mbio za pikipiki za Valencia kung’oa nanga

12/11/2021 09:35:39
Mbio za pikipiki maarufu kama MotoGP za Valencia 2021 zitang’oa nanga mwezi Novemba tarehe 14 Valencia Uhispania. Mbio hizo pia zinaitwa The Valencian Community Motorcycle Grand Prix. 

Memphis Grizzlies wataialika Phoenix

12/11/2021 09:29:38
Jumamosi ya Novemba 13 2021, Memphis Grizzlies wataialika Phoenix Suns kwenye mechi ya NBA msimu wa kawaida katika uwanja wa FedExForum ulioko Memphis Tennessee. Mechi inatarajiwa kuanza saa tisa asubui majira ya Afrika ya kati.