Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo

Macho yote yaangazia AT&T Pebble Beach Pro-Am

01/02/2022 14:57:39
Shindano la 2022 AT&T Pebble Beach Pro-Am la golfu litachezwa kwenye mikondo mitatu tofauti kati ya tarehe 3 na 6 Februari.

Rodgers kuja na mbinu za kuwaangamiza waajiri wa zamani

01/02/2022 14:50:24
Leicester wanatazamia kuwashinda Liverpool kwa mara ya pili msimu huu katika mechi za ligi watakapokutana Februari 10 uwanjani Anfield.

Barcelona kuchuana na mabingwa wa La liga, Atletico

01/02/2022 14:35:37
FC Barcelona watakuwa mwenyeji wa Atletico Madrid ugani Camp Nou katika mechi ya ligi mnamo Februari 6.
 

Cameroon na Misri kutibuana kwenye nusu fainali

01/02/2022 14:25:58
Cameroon na Misri watamenyana vikali katika mechi ya nusu fainali ya shindano la AFCON 2021 Februari 3.
 

Miamba wa soka Afrika, Misri na Morocco kufufua uhasama

28/01/2022 15:01:36
Misri itapambana na majirani wake kaskazini mwa Afrika, Morocco katika shindano la AFCON 2021 kwenye mchezo wa robo fainali mnamo Januari 30. 

76ers kuwakaba koo Lakers

27/01/2022 16:16:40
The Philadelphia 76ers watakabana koo na Los Angeles Lakers kwenye mechi ya NBA Wells Fargo Center in Philadelphia, Pennsylvania Ijumaa Januari 28. Mechi itang’oa nanga saa nane na nusu asubui majira ya afrika ya kati.