Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

HIZI HAPA SABABU 6 KUNTU ZA AZAM KUTOLEWA CAF MAPEMA...KOCHA WAO KUFUKUZWA?

28/08/2024 11:54:36
Waoka mikate Azam FC wameondolewa rasmi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika (CAFCL) baada ya kukubali

BAADA YA KUTEMWA SIMBA DK ZA JIONII...FREDDY MICHAEL 'FUNGA FUNGA' AVUNJA UKIMYA

28/08/2024 11:47:10
Saa chache baada ya kutemwa na Simba, mshambuliaji Freddy Michael amevunja ukimya na kufunguka.....

BAADA YA KUWAFUMUA VITAL'O 10-0....GAME ZOTE ZA YANGA CAF KUCHEZWA ZNZ

26/08/2024 09:20:26
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameanza kuchora ramani yake kuelekea hatua inayofuata ya Ligi ya Mabingwa...

MASHINE MPYA YA MAGOLI SIMBA SASA RUKSA KUKUTANA NA YANGA

22/08/2024 10:16:24
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Leonel Ateba ruska kuitumikia klabu hiyo katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara...
 
 

PAMOJA NA KUANZA KUKIWASHA YANGA...GAMONDI AGUNA KUHUSU KASI YA DUBE NA MZINZE

19/08/2024 09:22:42
Yanga Jumamosi Agosti 17, 2024, ilicheza mechi ya mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika na Vital’ O kwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 

Michezo ya Olimpiki 2024 - Mazoezi ya viungo

27/07/2024 22:40:26
Mchezo wa mazoezi ya viungo umekuwa mmoja wa michezo ya Olimpiki tangu mashindano hayo kuasisiwa mwaka 1896.