Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

AWESU KASAJILIWA KIHUNI...? MAJIBU YA SIMBA HAYA HAPA...ISHU YA KRAMO MHHH

27/07/2024 22:32:52
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amefafanua juu ya sintofahamu kuhusu usajili wa aliyekuwa kiungo wa KMC FC, Awesu Awesu.
 

KUHUSU KESI YA ENG HERSI NA VIONGOZI WAKE KUTAKIWA KUJIUZULU YANGA

27/07/2024 22:22:59
MKURUGENZI wa Sheria wa Yanga, Simon Patrick amesema wameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu kuwapa muda

KUHUSU ISHU YA LAMEK LAWI NA SIMBA...MAGORI AVUNJA UKIMYA...ATAJA PALIPOTIBUKA

18/07/2024 14:51:44
Baadhi ya wachezaji ambao Simba imemsajili Lameck Lawi, Abdulrazack Hamza, Debora Fernandes, Augustine Okejepha

OMBI LA CHAMA, MKUDE LAKUBALIWA YANGA....KUUANZA MSIMU WAKIWA NA NAMBA ZA SIMBA

18/07/2024 14:45:45
Chama amekuwa akipenda kuitumikia jezi namba 17 ambapo huwa anaivaa ndani ya timu ya taifa ya Zambia na Simba alipokuwa anacheza kuanzia 2018 hadi 2024.
 

Euro - Uhispania v Ujerumani

05/07/2024 13:38:40

Uhispania hawajapoteza mechi hata moja katika mashindano ya Euro 2024 yananyoendelea

HII HAPA YA BEKI MKONGO ALIYEIKATAA SIMBA KISA YANGA...ENG HERSI ATAJWA A-Z

04/07/2024 00:35:16
Dili la Simba limebuma baada ya kutaka kumnyampia beki wa FC Lupopo, Chadrack Boka, ambaye hawakujua...