Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
11/11/2023 09:23:53
Manchester City watakabiliana na Chelsea kwenye mechi ya ligi ugani Stamford Bridge mnamo Jumapili Novemba 12.
03/11/2023 18:16:30
Newcastle wanapania kukabili matokeo mabaya dhidi ya Arsenal kwenye ligi watakapokutana ugani St James' Park mnamo Jumamosi Novemba 4.
30/10/2023 11:50:20
Rais wa Shirikisho Wallace Karia alisema anaeapongeza Sandalans kwenda kwa muda kupatikana na jezi kabla ya timu zetu hazijaanza mchakato wa mashindano.
27/10/2023 15:53:28
Simba wanakuwa wenyeji uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam wakiwakaribisha Ihefu FC ambao hivi karibuni...
27/10/2023 13:57:15
Manchester United watakuwa mwenyeji wa Manchester City ugani Old Trafford Oktoba 29 katika mechi ya ligi ambayo itakuwa ni dabi ya 191, mechi itakayo kuwa na athari kubwa katika msimu wa United.
26/10/2023 13:24:27
Na mechi ya marudiano Yanga walikuwa ugenini wakipata matokeo ya mabao 2 -0, mchezo uliopigwa uwanja wa Liti, Singida, Mei 4, mwaka huu katika mchezo wa mzunguko wa pili