Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

EPL - Manchester City v Tottenham Hotspur

01/12/2023 16:26:24
Manchester City wanapania kuibwaga Tottenham watakapokutana kwenye mechi ya ligi ugani Etihad, Jumapili Desemba 3.
 

IBRAHIM 'BACCA' APEWA FUPA LA AL AHLY...YANGA 'WAKISHITAKI' SIMBA CAF

01/12/2023 15:58:24
Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said ameitangaza mechi ya Yanga dhidi ya Al Ahly Disemba 2/23 kuwa ni Bacca Day

MASTAA SIMBA WAPEWA 'LAST CHANCE'...MABOSI WAPISHANA KAMBINI KUYAMALIZA

29/11/2023 15:46:33
WACHEZAJI wa Simba wamepewa nafasi ya mwisho kuelekea mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy...
 
 

KOCHA MPYA SIMBA HUYU HAPA...TRY AGAIN AANIKA KILA KITU WAZI

17/11/2023 10:52:57
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’, amesema kocha huyo atapewa faili ya wachezaji wote na kuangalia mechi zilizocheza Simba pamoja na kujiridhisha
 

UHAKIKA HILI: USAJILI MPYA WA YANGA DIRISHA DOGO HUU HAPA

17/11/2023 10:26:31
KOCHA mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amependekeza nafasi tatu kuweza kuboresha kipindi cha usajili wa dirisha dogo ambalo linatarajiwa kufunguliwa Desemba mwaka huu.
 

NBA - Milwaukee Bucks v Dallas Mavericks

17/11/2023 09:53:58

The Milwaukee Bucks wanapania ushindi dhidi ya the Dallas Mavericks watakapokutana katika mechi ya NBA ya msimu kwenye ukumbi wa Fiserv Forum uliopo Milwaukee, Wisconsin, asubui ya Jumapili Novemba 19 2023.