Habari za hivi punde za Soka
                
                    Habari za hivi punde za Michezo
                
  
  
    
    27/07/2023 16:58:22
    Max Verstappen anapania kuwa dereva wa nne katika historia kushinda mbio za Belgian Grand Prix mara tatu mfululizo baada ya Michael Schumacher, Ayrton Senna na Jim Clark. 
 
    
   
   
  
  
    
    21/07/2023 18:05:46
    Max Verstappen ana imani kuwa atashinda mbio za magari za Hungarian Grand Prix kwa mara ya pili na kuimarisha nafasi yake ya kushinda shindano la Formula One msimu huu.
 
    
   
   
  
  
    
    21/07/2023 17:53:25
    KOCHA mkuu wa Simba, Mbrazil, Robert Oliveira 'Robertinho' ameuambia uongozi wa timu huyo kuhakikisha anawapata
    
   
   
  
  
    
    21/07/2023 17:01:07
    Ofisa habari wa Yanga, Ali Kamwe alisema wamekamilisha usajili wa winga huyo anbaye amecheza timu
    
   
   
  
  
    
    19/07/2023 10:12:54
    Tayari Simba SC imesajili wachezaji wapya wanne wa kimataifa katika dirisha hili kubwa, ambao ni kiungo mkabaji Fabrice Ngoma
    
   
   
  
  
    
    12/07/2023 16:38:58
    Mchezaji nambari 6 duniani katika mchezo wa tenisi Holger Rune atakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa mchezaji nambari 1 duniani Carlos Alcaraz watakapokutana kwenye mechi ya robo fainali ya shindano la Wimbledon.