Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
30/08/2023 16:59:34
Phiri ametoa kauli hiyo kufuatia bao lake la ushindi alilofunga juzi Jumapili katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar, wakati Simba
30/08/2023 15:52:30
Katika hatua nyingine ,Winga wa Simba SC, Aubin Kramo anamalizia muda wake wa mapumziko Ijumaa hii Agosti 25, 2023 na Jumamosi anarejea kikosini kujiunga na wenzake.
30/08/2023 15:44:50
Simba juzi ilifanikiwa kukusanya alama tatu zingine kwa kuibuka na ushundi wa mabao 2-0 katika mchezo wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Dodoma jiji FC.
25/08/2023 23:32:59
Liverpool wanapania kupata ushindi wao wa pili wa ligi msimu huu watakapokabiliana na Newcastle ugani St James' Park Jumapili, Agosti 27.
22/08/2023 17:56:32
Simba iliichapa Power Dynamos ya Zambia mabao 2-0, kwenye Simba Day Agosti 6, mwaka huu, kisha ikatoka sare na Singida.
22/08/2023 15:35:08
Nyota huyo raia wa Afrika Kusini alitolewa uwanjani dakika ya sita ya mchezo huo baada ya kuchezewa rafu na James Akamiko na nafasi yake kuchukuliwa na Chrispin Ngushi.