Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
09/05/2023 10:41:12
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Kalbu ya Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa uongozi wa klabu hiyo na idara zote zitafanya tathmini kwa wachezaji wote, benchi la ufundi na watendaji wote wa timu baada ya kukosa taji hata moja msimu mzima.
09/05/2023 07:57:20
Manchester City watakuwa mgeni wa Real Madrid kwenye mechi ya klabu bingwa ulaya (UEFA) Mei 9 ugani Estadio Santiago Bernabeu.
08/05/2023 15:35:09
Wapinzani wa Young Africans katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika Marumo Gallants wanatarajiwa kuwasili jijini Dar es salaam leo Jumatatu (Mei 08) tayari kwa mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Nusu Fainali.
05/05/2023 16:44:18
Baada ya ushindi mmoja katika mechi tano, Arsenal watakuwa wageni wa Newcastle United kwenye mchezo wa ligi mnamo Mei 7 Jumapili ugani St James' Park.
05/05/2023 16:23:04
BAADA ya kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kocha Mkuu wa Yanga SC Nasreddine Nabi, amesema kuwa sasa ameanza kuwapigia hesabu wapinzani wao Marumo Gallants.
26/04/2023 17:01:04
Atletico Madrid watakuwa wenyeji wa Real Mallorca kwenye mechi ya La Liga ugani Estádio Cívitas Metropolitano Aprili 26.