Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Verstappen apania ushindi wa Dutch GP kwa mara nyingine

01/09/2022 10:59:30
Dereva wa Red Bull Racing Max Verstappen anatarajia kuendeleza ubabe wake kwenye mashindano ya mbio za magari za dunia za Formula One msimu katika mbio za Dutch Grand Prix Jumapili Septemba 4.
 

Juventus walenga alama tatu kutoka kwa Spezia

31/08/2022 09:38:43
Juventus FC atamwalika Spezia Calcio katika mechi ya ligi kuu Italia ugani Allianz Stadium mnamo Agosti 31.
 

City watafuta ushindi wa kwanza dhidi ya Reds tangu 1993

31/08/2022 09:12:09
Manchester City watazamia kuendeleza ubabe wao kwenye ligi watakapowaalika Nottingham Forest ugani Etihad Stadium Jumanne Agosti 31.
 

Rahm apania kushinda taji la Tour Championship

26/08/2022 11:51:50
Jon Rahm anapania kushinda shindano la gofu la Tour Championship baada ya kukosa taji hilo kwa nafasi ndogo sana mwaka jana.
 

Juventus kukabiliana na Roma katika mechi wa Serie A

26/08/2022 11:38:01
Juventus FC watakuwa mwenyeji wa AS Roma kwenye mechi ya ligi ya Serie A ugani Allianz Stadium mnamo Agosti 27.
 

Valladolid kwenye mtihani mgumu dhidi ya Barca

25/08/2022 11:22:10
Barcelona watakaribisha timu ya Real Valladolid Camp Nou kwa ajili ya mechi ya ligi Agosti 28 Jumapili huku wakiendelea kuwafukuzia wanaoongoza ligi.