Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Mbio za Italian Grand Prix 2022 kung’oa nanga

09/09/2022 10:57:37
Mbio za magari za Italian Grand Prix 2022 zinatarajiwa kung’oa nanga Monza ambao ni mji uliopo eneo la Lombardy Italia Septemba 11. 
 

Inter wapania ushindi dhidi ya Torino

08/09/2022 18:35:40
Inter Milan watakuwa mwenyeji wa Torino FC kwenye mechi ya ligi ugani Stadio Giuseppe Meazza mnamo Septemba 10.
 

City kukabana koo na Spurs baada ya kupoteza alama mbili dhidi ya Villa

08/09/2022 18:28:22
Manchester City na Tottenham watakabiliana kwenye mechi ya ligi ugani Etihad mnamo Septemba 10 Jumamosi. 
 

Inter na Bayern kwenye mechi kali ya UEFA

06/09/2022 13:39:52
Inter Milan watacheza dhidi ya Bayern Munich kwenye mechi ya UEFA Champions kundi C mnamo Septemba 7.
 

Madrid na Betis kutoana kijasho kwenye mechi ya ligi.

02/09/2022 18:20:39
Real Madrid na Real Betis watamenyana ugani Estadio Santiago Bernabéu  katika mechi ya ligi kuu Uhispania mnamo Septemba 3.
 

Espargaró kuingia mbio za San Marino MotoGP na nguvu mpya.

02/09/2022 12:07:57
Aleix Espargaró ataingia kwenye mbio za San Marino Grand Prix na nguvu mpya huku akitarajia kupata ushindi wake wa pili wa msimu huu.