Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
11/10/2022 13:27:22
Barcelona wana kibarua cha ziada katika azma yao ya kufuzu kuingia hatua ya muondoano ya mechi za UEFA watakapomkaribisha Inter Milan Camp Nou Jumatano Oktoba 12.
07/10/2022 11:00:08
AC Milan watakuwa mwenyeji wa Juventus FC katika mechi ya ligi kuu Italia Oktoba 8 ugani Stadio Giuseppe Meazza.
07/10/2022 10:35:53
Arsenal itakuwa na mtihani mkubwa watakapoialika Liverpool ugani Emirates kwenye mechi ya ligi kuu England Jumapili Oktoba 9.
03/10/2022 13:22:14
Inter Milan na Barcelona watamenyana vikali katika mechi ya UEFA kundi C Oktoba 4.
30/09/2022 17:28:38
Manchester City wanatarajia kupata ushindi wa tatu mfululizo dhidi ya United watakapokutana kwenye mechi ya 188 baina yao Jumapili Oktoba 2.
29/09/2022 15:18:17
Kuanzia michezo ya inter-galactic na majangwa ya kale ya Misri, hadi michezo ya meza yenye kasi zaidi na mabadiliko makubwa, Betway Casino itakusafirisha hadi kwenye ulimwengu mpya wa kusisimua na ambao hajawahi kufika.