Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Madrid na Sevilla kukabana koo mechi ya ligi

20/10/2022 15:29:53
Real Madrid atakuwa mwenyeji wa Sevilla FC katika mechi ya ligi kuu Uhispania Oktoba 22 ugani Estadio Santiago Bernabéu.
 

Roma na Napoli kukutana kwenye dabi del Sole

20/10/2022 14:53:51
AS Roma itakuwa mwenyeji wa SSC Napoli katika mechi ya ligi kuu Italia mnamo Oktoba 23 ugani Stadio Olimpico.
 

Madrid na Barcelona kutoana kijasho El Clasico

14/10/2022 17:29:52
Real Madrid na Barcelona watafufua uhasama wao watakapokabiliana kwenye mechi ya ligi kuu Uhispania mnamo Oktoba 16 Estadio Santiago Bernabéu.
 

Verona kuwaalika mabingwa Milan

14/10/2022 17:22:38
Hellas Verona watakabiliana na mabingwa wa ligi ya Italia AC Milan kwenye mechi ya ligi ugani Stadio Marc'Antonio Bentegodi Oktoba 16.
 

Reds wapania kufufua matumaini dhidi ya City

14/10/2022 17:03:08
Liverpool wanapania kufikisha kikomo msururu wa mechi tano za ligi bila ushindi watakapomenyana na Manchester City kwenye mechi ya ligi ugani Anfield Jumapili Oktoba 16.
 

Washindi wa Bilionea Jackpot

11/10/2022 17:15:09
Bashiri 1X2 kwenye orodha mechi tulizozichagua za soka na mkeka ukitiki, utajishindia hadi TSh 5 bilioni. Zaidi ya hayo, kuna bonasi kubwa.
Hawa ni baadhi ya washindi wetu