Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
02/11/2022 15:37:34
Arsenal watakuwa wageni ugani Stamford Bridge kukabiliana na Chelsea kwenye mechi ya ligi Jumapili Novemba 6 wakiwa na nia ya kuzidi kushikilia nafasi ya kwanza kwenye jedwali.
31/10/2022 17:06:57
Juventus watamenyana na Paris Saint Germain kwenye mechi ya klabu bingwa ulaya kundi H Novemba 2.
29/10/2022 16:14:24
Manchester City watakuwa na nafasi ya kuongoza jedwali la ligi japo kwa muda watakaposafiri kuikabili Leicester Oktoba 29, Jumamosi.
29/10/2022 13:38:17
Max Verstappen wa Red Bull Racing anatarajia kupata ushindi wake wa 14 wa msimu ambao utakuwa ni rekodi Oktoba 30 Jumapili kwenye mbio za Mexican Grand Prix.
24/10/2022 15:54:54
Manchester City wanatarajia kuendeleza msururu wa matokeo mazuri ya mechi za UEFA msimu huu watakapoikabili Borussia Dortmund kwenye mechi ya makundi Oktoba 25 Jumanne Signal Iduna Park.
21/10/2022 15:45:51
Chelsea wanatarajia kuendeleza msururu wa matokeo mazuri chini ya ukufunzi wa Graham Potter watakapocheza na Manchester United Stamford Bridge Jumamosi Oktoba 22.