Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
13/12/2022 17:47:39
Macho na masikio yote ya mashabiki wa soka yapo kwenye Kombe la Dunia, wakati wababe wa soka la kimataifa wakichuana kunyakua kombe hilo. Hii ni michuano mifupi zaidi ukiachana na ile ya 1978, bila shaka zitakuwa siku 28 za kusisimua na zenye ushindani.
09/12/2022 18:04:53
Morocco inalenga kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kufika hatua ya nusu fainali ya kombe la dunia watakapo kabiliana na Ureno ugani Al Thumama, Doha Desemba 10 Jumamosi.
07/12/2022 11:04:13
Shindano la gofu la mwaka 2022 la Alfred Dunhill Championship linatarajiwa kufanyika Malelane, Afrika Kusini kati ya tarehe 8 na 11 mwezi Desemba.
07/12/2022 10:43:07
Philadelphia 76ers itamenyana na Los Angeles Lakers katika mechi ya ligi ya National Basketball Association (NBA) mnamo Desemba 10.
02/12/2022 00:16:34
Katika azma ya kutetea taji la kombe la dunia, Ufaransa itakabiliana na Poland Jumapili Desemba 4 kwenye mechi ya hatua ya 16.
01/12/2022 14:16:21
Boston Celtics watamenyana na Miami Heat katika mechi ya ligi ya kikapu, National Basketball Association (NBA) mnamo Desemba 3.