Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Arsenal watazamia ushindi mwingine kwenye mechi ya kirafiki

22/07/2022 16:19:19
Arsenal wataendelea na maandalizi ya msimu ujao watakapokutana na maasidi wao wa ligi ya premier, Chelsea, katika kombe la Florida Jumapili Julai 24.
 

Macho yote yaangazia mbio za French Grand Prix 2022

20/07/2022 16:47:30
Mbio za 2022 za French Grand Prix zinatarajiwa kung’oa nanga Le Castellet ambao ni mji ulioko Kusini mashariki mwa Ufaransa mnamo Julai 24. 
 

Macho yote yaangazia 3M Open

20/07/2022 16:41:39
Shindano la gofu la 3M Open 2022 linatarajiwa kung’oa nanga TPC Twin Cities, Blaine, Minnesota, Marekani kati ya Julai 21 na 24.
 

Woods kupigania taji la nne la Open Championship

15/07/2022 16:06:16
Tiger Woods anatarijia kushinda taji la kwanza baada ya miaka mitatu atakaposhiriki shindano la gofu la Open Championship.
 

Man United na Liverpool kukutana Thailand

11/07/2022 09:49:54
Manchester United na Liverpool FC watamenyana kwenye mechi kubwa ya kirafiki ya kujiandaa kwa msimu ujao, katika uga wa kitaifa wa Rajamangala Julai 12. 
 

Macho yote yaangazia shindano la Genesis Scottish Open 2022

06/07/2022 11:25:56
Shindano la gofu la Genesis Scottish Open mwaka 2022 linatarajiwa kung’oa nanga Renaissance Club North Berwick nchini Scotland kati ya tarehe 7 na 10 Julai.