Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
17/06/2022 11:49:16
Dereva wa Red Bull Racing Max Verstappen anatarajia kuendeleza msururu wa matokeo mazuri msimu huu wa Formula One atakaposhiriki mbio za Canadian Grand Prix Jumapili June 9.
17/06/2022 11:27:30
Shindano la gofu la US Open 2022 litachezwa kuanzia tarehe 16 hadi 19 Juni Brookline, Massachusetts, Boston, Marekani. Haya yatakuwa makala ya 122 ya shindano hilo.
14/06/2022 15:24:04
Fabio Quartararo anatazamia kuendeleza msururu wake wa matokeo mazuri atakaposhiriki mbio za pikipiki za German Grand Prix mnamo Juni 19.
13/06/2022 13:27:19
Sao Tome itapambana na Nigeria katika mechi ya kufuzu kombe la mataifa bara Afrika 2023 ugani Stade d'Agadir Juni 13.
10/06/2022 13:25:30
Scottie Scheffler anapania kuendelea kusalia kileleni mwa jedwali rasmi la mchezo wa gofu kwa kushinda shindano la gofu la RBC Canadian Open 2022.
08/06/2022 16:18:30
Lewis Hamilton anatarajia kuweka historia ya kuwa dereva wa kwanza kushinda mbio za langa langa za Azerbaijan Grand Prix mara mbili.