Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Nadal kuendelea na ubabe wake Roland Garros

20/05/2022 16:39:44
Rafael Nadal anapania kuendeleza ubabe wake kwenye shindano la tenisi la Roland Garros kwa kushinda shindano la mwaka huu mnamo Juni 5.
 

Verstappen apania taji la pili Spanish Grand Prix

20/05/2022 16:19:09
Max Verstappen atafanya kila awezalo kushinda kwa mara ya pili mbio za langa langa za Spanish Grand Prix mnamo Mei 22.
 

Taji kwa AC Milan iwapo wataishinda Sassuolo

19/05/2022 14:07:00
US Sassuolo watamwalika AC Milan kwenye mechi ya ligi ya Serie A ugani MAPEI Stadium mnamo Mei 22.
 

Barcelona kumenyana na Villarreal, La Liga

19/05/2022 13:53:48
FC Barcelona watakuwa mwenyeji wa Villarreal CF ugani Camp Nou kwenye mechi ligi mnamo Mei 22.
 

Woods aifuata rekodi ya Nicklaus na Hagen, PGA

18/05/2022 11:18:02
Tiger Woods anatarajia kushinda shindano la gofu la 2022 PGA na kufuata nyayo za wakongwe wa mchezo huo Walter Hagen na Jack Nicklaus.
 

Ushindi wa City dhidi ya Aston Villa kuwapa ubingwa

17/05/2022 16:11:55
Manchester City watatarajia kushinda taji la ligi kwa mara ya sita ndani ya miaka 11 watakapoialika Aston Villa ugani Etihad Mei 22 Jumapili ambayo itakuwa ni siku ya mwisho ya msimu.