Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Barcelona na Sevilla kumenyana kwenye mechi ya La liga

01/02/2023 10:23:45
FC Barcelona wataalika Sevilla FC ugani Spotify Camp Nou kwa ajili ya mechi ya ligi mnamo Februari 5.
 

Gunners kukabiliana na City, FA

26/01/2023 09:48:34
Arsenal wanatarajia kuendeleza msururu wa matokeo mazuri watakapokabiliana na Manchester City kwenye kombe la FA raundi ya nne ugani Etihad Stadium Ijumaa Januari 27.

Scheffler atazamia taji la kwanza la Farmers Insurance Open.

25/01/2023 17:34:09
Scottie Scheffler anapigiwa upatu kushinda shindano la gofu la Farmers Insurance Open litakaloandaliwa Torrey Pines Golf Course.

Napoli na Roma kukabiliana kwenye dabi del Sole

25/01/2023 17:15:06
SSC Napoli itakuwa mwenyeji wa AS Roma kwenye mechi ya ligi kuu Italia ugani Stadio Diego Armando Maradona Januari 29.

Raptors kuwakaribisha Celtics

20/01/2023 11:05:39

Toronto Raptors na Boston Celtics watakutana katika mechi ya ligi ya mpira wa kikakpu, the National Basketball Association (NBA) Januari 22. 

Juventus wanuia kuzima moto wa Atalanta

20/01/2023 10:56:25

Juventus FC itakabana koo na Atalanta BC katika mechi ya ligi kuu nchini Italia ugani Allianz Stadium Januari 22.