Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

BAADA YA KUFUZU KIBABE KWENDA 8 BORA CAF...HILI HAPA NENO LA MO DEWJI KWA SIMBA

22/01/2025 16:49:17
Wakati huo huo, kikosi cha Simba kimepewa mapumziko ya siku nne, baada ya hapo kinatakiwa kurejea kwa ajili ya mchezo wa Kombe la FA, pamoja na Ligi Kuu Tanzania Bara
 

PAMOJA NA KUONGOZA LIGI...FADLU AVUNJA UKIMYA SIMBA...ATAJA MASTAA ANAOWATAKA

02/01/2025 00:28:58
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema baada ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, anatarajia kwenda kukaa na viongozi

HAYA SASA YANGA MSHINDWE WENYEWE TU...REFA MECHI NA MAZEMBE NI

02/01/2025 00:24:46
Takwimu za mwamuzi Heeralall zinaonyesha amechezesha mechi 20 za CAF ngazi ya klabu ambapo kati ya hizo 15 timu zilizocheza zikiwa nyumbani zilishinda.
 

RASMIII...KERO ZA CHAMA ZARUDI UPYAA YANGA...KAZI KUANZIA KWA MAZEMBE

02/01/2025 00:19:19
Msemaji wa Yanga, Ali Kamwe alithibitisha kwa kusema kuwa, baada ya kukaa nje kwa michezo kadhaa, wachezaji hao watatu wamerejea uwanjani kufanya mazoezi

MAMBO YA MPANZU HUKO SIMBA SASA NI BAMBAM...CAF WAPITISHA JINA LAKE....

02/01/2025 00:08:46
Mpanzu ni miongoni mwa usajili uliofanywa kipindi cha dirisha dogo na kucheza mechi tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara na Juzi wamefanikiwa kupata kibali cha kumtumia

KUELEKEA CHAN 24...TANZANIA YAPEWA UPENDELEO...CAF 'WAAGIZA' IFIKE FAINAL

20/12/2024 11:01:46
RAIS wa Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema anatamani kuiona Tanzania ikifika fainali ya michuano ya kombe la Mataifa