Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
03/12/2025 10:27:18
Kauli ya Mwana FA, inatokana na agizo serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT), kutoa maelekezo ya Katiba mpya ya Simba inapaswa kumtambua Mwenyekiti wa Klabu kuwa ndiye Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi maana klabu ina umiliki mkubwa (51%)
08/11/2025 16:42:23
Singida Black Stars imepangwa katika kundi C lililo na wapinzani wakubwa wenye uzoefu wa michuano ya Afrika, CR Belouizdad (Algeria), Stellenbosch FC (Afrika Kusini) na AS Otoho (Kongo-Brazzaville).
29/10/2025 10:03:41
Akizungumza baada ya mchezo huo, Pantev amesema eneo la kwanza ambalo linakwenda kufanyiwa kazi ni lile la kiungo ambalo bado halizalishi mashambulizi mengi.
29/10/2025 09:53:20
Kabla ya hapo, Simba ndio inaongoza kwa kukusanya pointi nyingi CAF ikiwa nazo 48 ikishika nafasi ya tano Afrika, ikifuatiwa na Yanga (34) ambayo ni ya 12 na Namungo (0.5) ya 77. Singida Black Stars na Azam kwa kuingia makundi, zina uhakika wa kukusanya pointi 0.5,
28/10/2025 17:07:05
Yanga iko kwenye presha ya kumuondoa kocha huyo aliyeingoza timu hiyo katika mechi tano za mashindano kisha akashinda nne na sare moja. Hajapoteza.
09/10/2025 16:17:16
Kitendo cha Rôrô kuhakikishiwa na Yanga anaweza kuja na wasaidizi wake wa benchi la ufundi, moja kwa moja akashawishika kusaini tofauti na Simba iliyoweka masharti ya kocha ajaye asiwe na wasaidizi wengi.