Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
14/04/2023 16:42:13
Shindano la gofu la RBC Heritage 2023 linatarajiwa kung’oa nanga kisiwani Hilton Head, jimbo la South Carolina kati ya tarehe 13 na 16 Aprili.
12/04/2023 09:36:17
Viongozi wa ligi ya Premier Arsenal watakuwa na kibarua kigumu watakapoikabili West Ham London Stadium katika mechi ya ligi mnamo Aprili 16, Jumapili.
11/04/2023 15:47:23
Chelsea wanatarajia kurejea kwa Frank Lampard kutawapa motisha watakapokutana na Real Madrid kwenye mechi ya robo fainali ya UEFA mkondo wa kwanza Jumatano Aprili 12 ugani Bernabeu.
06/04/2023 18:34:22
Milwaukee Bucks na Memphis Grizzlies watamenyana vikali kwenye mechi ya ligi ya mpira wa kikapu, National Basketball Association (NBA) Aprili 8.
06/04/2023 18:03:32
SS Lazio watamenyana vikali na Juventus FC kwenye mechi ya ligi kuu Italia ugani Stadio Olimpico Aprili 9.
06/04/2023 17:41:53
Arsenal wanatarajia kupiga jeki azma ya kushinda taji la Premier tangu msimu 2003-04 watakapocheza na Liverpool ugani Anfield Jumapili Aprili 9.