Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
02/03/2026 09:38:34
Mara ya mwisho Simba kuifunga Yanga ilikuwa katika Ngao ya Jamii iliyochezwa Agosti 13, 2023 kwa penalti 3-1, baada ya hapo, Yanga imetembeza vipigo vinne katika Ligi na viwili Ngao ya Jamii.
02/03/2026 09:27:01
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, waamuzi watakaosimamia Kariakoo Derby kati ya Yanga SC na Simba SC wametangazwa rasmi, huku..
02/03/2026 09:20:19
Kwa mujibu wa Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, kwa sasa nyota huyo hayupo kwenye mipango ya timu, na hatma yake ya kusafiri na kikosi kuelekea Zanzibar bado haijafahamika.
02/03/2026 09:08:04
Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, amebainisha kuwa wachezaji wake muhimu, Pacome Zouzoua na Prince Dube, bado wanapata majeraha madogo.
27/02/2026 11:30:48
KOCHA Mkuu wa Simba, Steve Barker, amesisitiza kwamba kikosi chake kitaingia kwenye Kariakoo Derby dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga FC, huku Kariakoo Derby dhidi ya Yanga SC
19/02/2026 07:45:46
KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Pedro Goncalves, amesema uzoefu walioupata katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakuwa chachu ya maboresho...